×
App Icon
The Standard e-Paper
Home To Bold Columnists
★★★★ - on Play Store
Download App

Sababu Za Wasichana Kufeli KCSE Ni Vipi


Katika matokeo ya mwaka jana ya mtihani wa KCSE, ni wasichana 27 pekee waliopata nafasi katika orodha ya wanafunzi bora mia moja nchini. Zaidi ni kwamba hakuna hata msichana mmoja aliyejishindia nafasi kwa wale kumi bora. Kando na hayo ni kwamba tangu jadi wasichana hawajakuwa wakifanya vyema kwenye mitihani kama wenzao wavulana. je ni kwa nini mtindo huu unashuhudiwa? sababu zimeorodheswha kuwa nyingi ikiwemo teknolojia ya mtandao wa facebook.
Get Full Access for Ksh299/Week.
Bold Reporting Takes Time, Courage and Investment. Stand With Us.
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in