×
App Icon
The Standard e-Paper
Home To Bold Columnists
★★★★ - on Play Store
Download App

Marende tax debate next week

Spika wa bunge Kenneth Marende amekuwa ni mwenye kumulikwa siku za hivi karibuni hasa kwa kuonekana kuwa mkaidi katika mjadala wa ushuru wa wabunge huku wachanganuzi wa kisiasa wakidai kuwa Marende hajaashiria uongozi mwema bungeni kama ilivyo katika idara nyengine za serikali.kulingana naye serikali na halmashauri ya utozaji ushuru ilihakikishia bunge kwamba marupurupu yao hayatatozwa ushuru na kusisitiza kuwa iwapo watahitajika kulipa ushuru wa ziada sheria itahitajika kubuniwa ili kutoa mwongozo dhabiti. Jee ni sheria inayobezwa au kwa wabunge kujitakia makuu?
Get Full Access for Ksh299/Week.
Bold Reporting Takes Time, Courage and Investment. Stand With Us.
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in