Kenya Vs Angola colour

Wengi walijitokeza kwenye mechi hiyo wakitarajia matokeo mema.wakubwa kwa wadogo na hata wazee hawakuwachwa nyuma kwenye mechi hiyo ya Kenya dhidi ya Angola. Mashabiki wa Angola pia walijitokeza kwa wingi wakiwa na matumaini si haba.na mashabiki wa Radio Maisha pia walionyesha mahanjam si haba kuishangilia Harambee Stars.