Waandamanaji watiwa mbaroni

News

Na Mike Nyagwoka

Watu watatu wametiwa mbaroni  jijini Nairobi kufuatia maandamano yaliyofanyika kupinga hafla ya Jamhuri mapema leo chini ya kauli mbiu #TakeBackKenya. Maandamano hayo yalikuwa yakiongozwa na kundi la wanaharakati akiwamo Boniface Mwangi kabla ya maafisa wa polisi kuingilia kati na kuwatawanya kutumia vitoza machozi.

Hayo yanajiri huku hatua hiyo ya polisi ikiendelea kushtumiwa. Katika mitandao ya kijamii, Wakenya wameitaja hatua ya kuyatibua  maandamano kutumia vitoza machozi kuwa ya kikoloni na ambayo inakwenda kinyume na matarajio wakati kama huu Kenya inaposherehekea miaka 53 ya kujitawala.

Volleyball and Handball
Chumba back as KCB aim to reclaim continental title in Cairo
By AFP 1 day ago
Sports
Kenya's Munyao gets better of Bekele to win London Marathon
By AFP 1 day ago
Football
Arsenal thrash Chelsea 5-0 to open up Premier League lead
By AFP 1 day ago
Football
Inter Milan seal Scudetto in derby thriller with AC Milan