×
App Icon
The Standard e-Paper
Informed Minds Prefer The Standard
★★★★ - on Play Store
Download Now

Mtu mmoja ameripotiwa kuaga dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa vibaya kwenye ajali ya barabarani, iliyohusisha magari 4 katika Nairobi Expressway, usiku wa kuamkia leo.

Vocalize Pre-Player Loader

Audio By Vocalize

Mtu mmoja ameaga dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa vibaya kwenye ajali ya barabarani, iliyohusisha magari 4 katika  Nairobi Expressway, usiku wa kuamkia Jumapili.

Kwenye ajali hiyo ya kwanza kabisa katika Nairobi Expressway, dereva mmoja alikuwa akiendesha gari lake kwa mwendo wa kasi zaidi, hadi akashindwa kudhibiti usukani na kugonga magari mengine matatu yaliyokuwa yakisubiri kupewa idhini ya kuondoka kwenye Barabara ya Nairobi Expressway, baada ya kulipa ada za kutumia barabara hiyo.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Fact‑first reporting that puts you at the heart of the newsroom. Subscribe for full access.
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in
Golf
Magical Kenya Open: Jastas Madoya reveals what fuels his passion for golf
Olympics
NOC-K signs strategic MoU with Japanese Olympic Committee
Unique Sports
Youthful Kinoti Kiara crowned African fencing champion
By Xinhua 13 hrs ago
Sports
How Chinese elements shine at Milan-Cortina Winter Olympics