The Standard Group Plc is a
multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper
print operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The
Standard Group is recognized as a leading multi-media house in Kenya with a key
influence in matters of national and international interest.
Na Carren Omae
Tume ya Uchaguzi, IEBC imesisitiza kwamba ratiba yake ya maandalizi ya uteuzi wa vyama ndiyo itakayozingatiwa. Katika taarifa, tume hiyo imesema shughuli hiyo inafaa kuanza tarehe 13 na kukamilika tarehe 26 mwezi huu. Tangazo hili linaashiria kwamba huenda chama cha ODM ambacho kilinuia kuanza uteuzi wake mapema, hakitakuwa na budi kuahirisha shughuli hiyo.
IEBC imesema ingali katika shughuli ya kuchapisha majina ya watakaowania tiketi ya vyama vya kisiasa katika gazeti rasmi la serikali.
Premium Article
Get Full Access for Ksh299/Week.
Fact-first reporting that puts you at the heart of the newsroom. Subscribe for full access.
🔥 Flash Sale !
Subscribe now and enjoy 50% off monthly and annual plans. Offer ends in…
Stand With Bold Journalism.
Stand With The Standard.
Journalism can't be free because the truth demands investment.
At The Standard, we invest time, courage and skills to bring you accurate,
factual and impactful stories. Subscribe today and stand with us in the
pursuit of credible journalism.