Kajiado Famine_230309

Mtazamaji hebu tafakari jinsi hali itavyokuwa iwapo jiji litakumbwa na uhaba wa nyama, bila shaka ni hali ya isiyoridhisha hasa ikizingatiwa kuwa chakula hiki huchangamkiwa na wengi. Lakini ukweli ni kuwa hii ndiyo hofu inayotukodolea macho kwa sasa huku mifugo ikizidi kufariki na biashara kudorora katika soko la kiserian ambalo ni tegemeo kuu hapa jijini.kwa sasa msaada wa dharura unahitajika ili kukwamua jahazi hili ambalo linaonekana kuzama.

Related Topics

Kajiado Famine