×
App Icon
The Standard e-Paper
Smart Minds Choose Us
★★★★ - on Play Store
Download App

Romano On Tea Reforms_230309

Mabadiliko kwenye sekta ya chai yataanza kutumika mwishoni mwa mwezi huu, kulingana na katibu wa kudumu katika wizara ya kilimo romano kiome. Kiome anasema sheria hizo mpya zitawezesha wakulima kupata mapato zaidi kutoka kwa mmea huo ambao faida yake imekuwa ikididimia kwa muda sasa. Kiome anadai kwamba hii ni kwa sababu wakulima wamegawanya mashamba katika vipande vidogo vidogo.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Uncover the stories others won’t tell. Subscribe now for exclusive access
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in