Kenya imetakiwa kuchukua hatua za haraka kukabiliana na tishio la usugu wa dawa

Kenya imetakiwa kuchukua hatua za haraka kukabiliana na tishio la usugu wa dawa
KEMRI yaonya kuwa usugu wa dawa (antimicrobial resistance) ni tishio kubwa kwa utekelezaji wa mpango wa afya kwa wote, usalama wa afya ya taifa, maandalizi ya majanga ya kiafya.
.

RELATED NEWS