× Podcast Categories English Podcast Kiswahili Podcast Digital News Videos Health & Science Lifestyle Opinion Education Columnists Moi Cabinets Arts & Culture Fact Check Podcasts E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Euro2020 Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
LOGIN ×
BTV
VAS
DCX
RMS

PODCASTS

Home / Swahili / Siasa / Episode

Siasa Podcast: Hatutaki Siasa Makanisani - Askofu Anthony Muheria

Siasa | 1 week ago

Hatua ya Kiongozi wa Kanisa la Kianglikana, Jackson Ole Sapit kuwanyima fursa wanasiasa kuhutubu katika mimbari kwenye halfa aliyokuwa akiongoza katika Eneo Bunge la Butere, Kaunti ya Kakamega, imeendelea kuibua mijadala mikali. Je, ndio mwisho wa maendeleo na ujenzi wa makanisa baada ya wanasiasa kunyimwa fursa ya kuzungumza mimbarini? Mwanahabari wetu Victor Mulama amemhoji Askofu wa Kanisa Katoliki Dayosisi ya Nyeri Anthony Muheria ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Madhehebu la Kushughulikia Kanuni za Kuzingatiwa katika Maeneo ya Ibada.?

.
RECOMMENDED PODCASTS
.
LATEST JOB OPPORTUNITIES ON STANDARDJOBS
×

Stay Ahead!

Access premium content only available
to our subscribers.

Support independent journalism