Uhusiano wa Hayati Rais Kibaki na Raila Odinga

General Podcasts | 2 weeks ago

Licha ya serikali ya nusu mkate kusifiwa kutokana na utendakazi wake, ni dhahiri kwamba uhusiano wa Hayati Rais Mustaafu Mwai Kibaki na aliyekuwa Waziri Mkuu wakati huo Raila Odinga waliobuni serikali hiyo uliendelea kudodora jinsi siku zilivyosonga, baada ya mwafaka kupatikana kufuatia uchaguzi wa mwaka 2007. Mwanahabari Sam Amani anaangazia malumbano baina ya Kibaki na Raila.