Wanasiasa Vigeugeu

General Podcasts | 4 months ago

Hali ya wanasiasa kuwa vigeugeu kama kinyonga imejitokeza tena baada ya Kiongozi wa ANC Musalia Mudavadi kuungana na Ruto ilhali amekuwa akimkosoa kwamba anaahidi kuwainua Wakenya wenye kipato cha chini ilhali amekuwa serikalini. Wnasiasa ni wale leo. Leo wanalumbana vikali na kuitana majina, kisha kesho wanauungana.