× Podcast Categories English Podcast Kiswahili Podcast Digital News Videos Health & Science Lifestyle Opinion Education Columnists Moi Cabinets Arts & Culture Fact Check Podcasts E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Euro2020 Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
LOGIN ×
BTV
VAS
DCX
RMS

PODCASTS

Home / English / General Podcasts / Episode

SIASA PODCAST; Uhuru, Uongozi ni wa muda tu - Ndindi Nyoro

General Podcasts | 2 months ago

Mbunge wa Kiharu, Ndindi Nyoro amemshtumu Rais Uhuru Kenyatta pamoja na wandani wake kwa kuwakandamiza wandani wa Naibu wake, William Ruto. Nyoro aidha anapinga vikali taarifa ya Ikulu kwamba Rais Kenyatta, Raila Odinga na vinara wa One Kenya Alliance, OKA walikuwa wakijadili masuala ya korona, uchumi na amani. Anasema walikuwa wakijadili jinsi watakavyomshinda Naibu wa Rais, William Ruto 2022. Pia anasema Kenyatta alikuwa akiwasihi kumuunga mkono Odinga kuwania urais. Kadhalika amezungumzia kusitishwa kwa ziara ya Ruto kwenda Uganda. Wakati uo huo, amekariri kuwa mfumo wa bottom up economic model utafaulu. Nyoro amezungumza na mwanahabari wetu, Esther Kirong.

.
RECOMMENDED PODCASTS
.
LATEST JOB OPPORTUNITIES ON STANDARDJOBS
×

Stay Ahead!

Access premium content only available
to our subscribers.

Support independent journalism