Gumzo na Mwanaspoti Podcast: Hyvin Jepkemoi Kiyeng; fahari na pandashuka za Olimpiki

Gumzo na Mwanaspoti | 1 year ago

Mshindi wa nishani kadhaa zikiwamo za dhahabu na shaba katika mashindano ya dunia ya mbio za mita elfu tatu kuruka viunzi na maji, Hyvin Kiyeng anasema kufikia sasa amejaribu licha ya kushindwa katika mashindano mbalimbali. Katika mahojiano na mwanahabari wa Ktn, Rotuno Kwonyike. Kiyeng amewasihi Wakenya kuwashabikia wanariadha wa Kenya mtandaoni badala ya kuwakejeli.