× Podcast Categories English Podcast Kiswahili Podcast Digital News Videos Health & Science Lifestyle Opinion Education Columnists Moi Cabinets Arts & Culture Fact Check Podcasts E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Euro2020 Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
LOGIN ×
BTV
VAS
DCX
RMS

PODCASTS

Home / Swahili / Kisa Changu / Episode

Kisa Changu Podcast: HIV yanisababishia upweke - Ali Mwinyi

Kisa Changu | 1 month ago

Ali Mwinyi, mkazi wa Kaunti ya Kilifi amekuwa akiugua ukimwi kwa miaka 15. Anasema licha ya kampeni za kuuhamasisha umma kuhusu ukimwi, safari yake imekuwa na pandashuka nyingi. Mbali na kutopata huduma zinazofaa kwa haraka inavyostahili, anasema amekabiliwa na unyanyapaa na ubaguzi kutoka kwa wanajamii. Mwanahabari wetu, Marion Kithi amemtembelea nyumbani na hapa anatupa taswira kamili ya mahangaiko wanayopitia waathiriwa wa ukimwi, miaka 40 tangu virusi vya HIV kugunduliwa duniani.

.
RECOMMENDED PODCASTS
.
LATEST JOB OPPORTUNITIES ON STANDARDJOBS
×

Stay Ahead!

Access premium content only available
to our subscribers.

Support independent journalism