× Podcast Categories English Podcast Kiswahili Podcast Digital News Videos Health & Science Lifestyle Opinion Education Columnists Moi Cabinets Arts & Culture Fact Check Podcasts E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Euro2020 Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
LOGIN ×
BTV
VAS
DCX
RMS

PODCASTS

Home / Swahili / Kisa Changu / Episode

Kisa Changu Podcast: Ukatili wa kubomolewa nyumba Mukuru, Nairobi

Kisa Changu | 1 week ago

Bridgit Achieng' ni miongoni mwa maelfu ya wakazi wa mtaa wa mabanda wa Mukuru ambao hawana makao baada ya serikali kubomoa nyumba zao, kupisha ujenzi wa barabara ya Nairobi Expressway. Bridgit mwenye umri wa miaka 25 na mama wa mtoto mmoja anasema ameishi mtaani Mukuru maisha yake yote na hatua hiyo imemwathiri pakubwa kwani alilazimika kuanza upya tena maisha yake. Lakini kinachovutia zaidi kutoka kwa Bridgit si changamoto za kuishi katika mtaa wa mabanda au kukosa makazi bali ni kuamua kutumia mahangaiko yanayomkumba kuwatia motisha vijana kupitia mtandao wake wa Facebook. Sikiliza masimulizi kamili katika makala haya na Carren Omae.

.
RECOMMENDED PODCASTS
.
LATEST JOB OPPORTUNITIES ON STANDARDJOBS
×

Stay Ahead!

Access premium content only available
to our subscribers.

Support independent journalism