× Podcast Categories English Podcast Kiswahili Podcast Digital News Videos Health & Science Lifestyle Opinion Education Columnists Moi Cabinets Arts & Culture Fact Check Podcasts E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Euro2020 Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
LOGIN ×
BTV
VAS
DCX
RMS

PODCASTS

Home / Swahili / Kisa Changu / Episode

Kisa Changu

Kisa Changu | 1 month ago

KISA CHANGU PODCAST: Anazuru kote nchini kwa baiskeli kuhamasisha kuhusu korona Fredrick Ochieng mwenye umri wa miaka 27, amejipa jukumu la kuufikisha ujumbe kuhusu janga la korona kote nchini. Ochieng' anasema amechukua hatua hiyo baada ya kuwaona Wakenya wengi wakipuuza masharti ya kukabili janga hilo. Anasema haja yake ni kumwona kila Mkenya akitii masharti hayo hatua itakayowasaidia kurejelea maisha ya kawaida. Mwanahabari Mike Ekutan amekutana na Ochieng' baada ya kuwasili mjini Lowdor, katika Kaunti ya Turkana ambapo amemsimulia kuhusu hali yake safarini.

.
RECOMMENDED PODCASTS
.
LATEST JOB OPPORTUNITIES ON STANDARDJOBS
×

Stay Ahead!

Access premium content only available
to our subscribers.

Support independent journalism