× Podcast Categories English Podcast Kiswahili Podcast Digital News Videos Health & Science Lifestyle Opinion Education Columnists Moi Cabinets Arts & Culture Fact Check Podcasts E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Euro2020 Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
LOGIN ×
BTV
VAS
DCX
RMS

PODCASTS

Home / Swahili / Kisa Changu / Episode

KISA CHANGU PODCAST: Kukosa uwezo wa kuona si kizingiti

Kisa Changu | 3 months ago

Eunice Waithera, mzawa wa Molo alipoteza uwezo wa kuona akiwa na umri wa miaka sita pekee, likini hilo halikumvunja moyo. Alijikakamua masomoni na sasa ni mwalimu wa shule ya upili. Eunice ni mwalimu wa kipekee, kwani wanafunzi wake hawana matatizo ya kuona jinsi ingetarajiwa. Mwalimu huyu wa somo la Kiswahili anasema hajawahi kukata tamaa. Katika masimulizi na mwanahabari wetu William Omasire, Eunice anasema alichopoteza ni uwezo wa kuona tu wala si mwelekeo maishani.

.
RECOMMENDED PODCASTS
.
LATEST JOB OPPORTUNITIES ON STANDARDJOBS
×

Stay Ahead!

Access premium content only available
to our subscribers.

Support independent journalism