× Podcast Categories English Podcast Kiswahili Podcast Digital News Videos Health & Science Lifestyle Opinion Education Columnists Moi Cabinets Arts & Culture Fact Check Podcasts E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Euro2020 Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
LOGIN ×
BTV
VAS
DCX
RMS

PODCASTS

Home / Swahili / Kisa Changu / Episode

KISA CHANGU PODCAST: Kilio cha miaka13; risasi katika uti wa mgongo

Kisa Changu | 2 weeks ago

Stephen Nyoka mwenye umri wa miaka 56 mkazi wa Kijiji cha Embakasi, Saboti katika Kaunti ya Trans Nzoia, alishambuliwa na waliokuwa wanachama wa kundi la Saboat Land Defence Force, SLDF lililosambaratishwa mwaka wa 2008 na kikosi cha jeshi katika operesheni ya Okoa Maisha. Katika kisa hicho cha Machi 3, 2008, watoto wake watatu waliuliwa na mke wake kujeruhiwa vibaya kwa kupigwa risasi pia kwa kukatwa kwa upanga. Nyoka anaishi akiwa na risasi hiyo kwani madaktari walimwonya kwamba ikiwa upasuaji utafanyika kujaribu kuiondoa basi atafariki dunia. Afya ya Nyoka inaendelea kudhoofika kutokana na athari za risasi hiyo na msongo wa mawazo jinsi utakavyosikia katika mahojiano kati yake na Martin Ndiema.

.
RECOMMENDED PODCASTS
.
LATEST JOB OPPORTUNITIES ON STANDARDJOBS
×

Stay Ahead!

Access premium content only available
to our subscribers.

Support independent journalism