× Podcast Categories English Podcast Kiswahili Podcast Digital News Videos Health & Science Lifestyle Opinion Education Columnists Moi Cabinets Arts & Culture Fact Check Podcasts E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Euro2020 Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
LOGIN ×
BTV
VAS
DCX
RMS

PODCASTS

Home / Swahili / Uchumi na Biashara / Episode

UCHUMI NA BIASHARA PODCAST; Mfumo wa mixed economy ni bora, sio 'bottom-up'

Uchumi na Biashara | 3 months ago

Mwanauchumi, Ken Gichinga anataja mifumo mbalimbali ya kuimarisha uchumi, akisema mfumo mzuri zaidi ni ule wa mchanganyiko yaani mixed economy model hasa ikizingatiwa taifa la Kenya linakua kiuchumi. Aidha, Gichinga anasema mfumo wa kuwainua wananchi wenye tabaka la chini kiuchumi; bottom - up economy ni bora iwapo siasa za nchi zitaimarishwa. Vilevile anaangazia mfumo wa trickle down economy ili kuhakikisha sekta ya kibiashara inakwamuliwa. Pia, Gichinga anasema Rais wa Marekani, Joe Biden sawa na Naibu wa Rais, William Ruto wanashabikia mfuko wa bottoms-up-economy. Gichinga amezungumza na mwanahabari wetu, Esther Kirong'?.

.
RECOMMENDED PODCASTS
.
LATEST JOB OPPORTUNITIES ON STANDARDJOBS
×

Stay Ahead!

Access premium content only available
to our subscribers.

Support independent journalism