Sepetuko Podcast; Mbona hamkumtaja BABA kuwa msaliti, mbona akawa Mudavadi?

Sepetuko | 3 months ago

Tangazo la Mudavadi Jan 23 kushirikiana na mwalimu Ruto (PhD) limechukuliwa vibaya kuliko tangazo la Raila Machi 9 2018 kushirikiana na rais Kenyatta- ajabu ni kwamba wote wamewasaliti wenzao