Sepetuko Podcast; George Kinoti ajipeleke jela ahudumie kifungo kwanza!

Sepetuko | 5 months ago

Ni vigumu kwa afisa wa serikali ambaye mahakama imemtaja kuwa mfungwa kuendelea kuhudumu katika idara muhimu kwenye utaratibu wa kulinda sheria nchini -DCI. Itakuwa vigumu kwa mahakama kukubali saini zake kwenye rekodi za kesi zinazowasilishwa na idara ya upelelezi wa jinai.