Sepetuko Podcast; Ubaguzi dhidi ya Afrika kufuatia ugunduzi wa virusi vya Omicron

Sepetuko | 5 months ago

Wazungu wamekuwa wepesi katika kutoa marufuku kwa ndege za mataifa ya kusini mwa Afrika na hali kile Afrika kusini ilifanya ni kugundua aina mpya ya virusi vya Korona-haikumaanisha kwamba Omicron imeanzia Afrika Kusini au Botswana.