× Podcast Categories English Podcast Kiswahili Podcast Digital News Videos Health & Science Lifestyle Opinion Education Columnists Moi Cabinets Arts & Culture Fact Check Podcasts E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Euro2020 Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
LOGIN ×
BTV
VAS
DCX
RMS

PODCASTS

Home / Swahili / Sepetuko / Episode

SEPETUKO PODCAST; Uadui Kati ya Jaramogi na Kenyatta; Athari Zingalipo

Sepetuko | 2 months ago

Sababu za jamii ya Mlima Kenya kumchukia Raila Odinga kisiasa ni za kihistoria. Ni uhasama ulioanza miaka ya sitini ambapo Tom Mboya alimchochea Jaramogi kutaka apewe kiti cha urais kwa njia zote. Jamii ya Agikuyu ilimwona Jaramogi kuwa adui aliyetaka kumpokonya kiti Mzee Jomo Kenyatta. Ikabidi kafara zifanywe Mlima Kenya ili kukilinda kiti cha urais. Uhasama wa kisiasa baina ya Jaramogi na Jomo umeendelezwa na jamii zao hadi sasa. Wellingtone Nyongesa anasimulia.

.
RECOMMENDED PODCASTS
.
LATEST JOB OPPORTUNITIES ON STANDARDJOBS
×

Stay Ahead!

Access premium content only available
to our subscribers.

Support independent journalism