SECTIONS

Licha ya wakenya kujizatiti vilivyo mwaka jana kwa kutoa michango yao kuwasaidia wahanga wa njaa kupitia mradi wa kenyans for kenya,sasa jitihada hizo zinaoenakana kuambulia patupu baada ya sehemu ya chakula hicho kuharibikia maghalani.haya yanajiri baada ya kubainika kuharibika kwa takriban magunia 180 ya chakula aina ya wetabix na bandali 460 za ujimix katika maghala huko turkana.