The Standard Group Plc is a
multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper
print operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The
Standard Group is recognized as a leading multi-media house in Kenya with a key
influence in matters of national and international interest.
Wakenya wametakiwa kujiunga na mataifa mengine katika utunzaji wa mazingira ili kukabili athari za mabadiliko ya hali ya anga.
Akizindua kongamano la kujadili mabadiliko ya hali ya anga Gavana wa Uasin Gishu Jackson Mandago amesema kuwa ni wajibu wa kila Mkenya kuhakikish kuwa mazingira yanatunzwa.
Mandago amewataka viongozi wa humu nchini kuwaelimisha Wakenya kuhusiana na utunzaji wa mazingira.
Kauli yake imesisitizwa na Afisa Mkuu Katika Wizara ya Maji Na Mazingira katika Kaunti ya Makueni Mary Mbenge ambaye ametoa wito wa kuwekwa mikakati ya haraka ili kuhakikisha kuwa mazingira hayaharibiki.
Premium Article
Get Full Access for Ksh299/Week.
Bold Reporting Takes Time, Courage and Investment. Stand With Us.
Stand With Bold Journalism.
Stand With The Standard.
Journalism can't be free because the truth demands investment.
At The Standard, we invest time, courage and skills to bring you accurate,
factual and impactful stories. Subscribe today and stand with us in the
pursuit of credible journalism.