Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania John Magufuli akihutubia wanahabari katika ziara yake ya Kenya. [Picha: Standard]
Sambamba na sakata ya ‘Brexit’ ya Uingereza kujitenga jumuiya ya Ulaya ‘European Union’ (EU) yamkini Tanzania inajitia katika mwiba huo wanaojichoma waingereza.