Ukeketaji wavunja ndoa katika Kaunti ya Taita Taveta,huku kaunti hiyo ikiongoza kwa asilimia 61.3 ya visa vya watoto wadogo wa chini ya miaka tano(5) kukeketwa.
Takwimu kutoka Kwa wizara ya afya humu nchini zinayonyesha kuwa asilimia 22 .3 ya wanawake kati ya umri wa miaka kumi na (15 ) hadi arobaini na (49 ) wamekeketwa katika Kaunti ya Taita Taveta.