FIFA Election Watch-Swahili

Madai ya ufisadi yanaendelea kuzua tumbo joto katika afisi za FIFA huku shirikisho hilo la soka duniani likiandaa kikao cha kumtawaza Joseph Sepp Blatter kama kiongozi wa shirikisho hilo bila kupingwa kwa kipindi kingine cha miaka minne. Hata hivyo shirikisho la soka la uingereza f.a linatafuta asilimia 75 kati ya mashirikisho 208 kuhairisha uchaguzi huo wa hapo kesho.

Related Topics

FIFA