×
App Icon
The Standard e-Paper
Fearless, Trusted News
★★★★ - on Play Store
Download App

Gavana Mutua aangua kilio duni cha mtu mzima

Gavana Machakos Alfred Mutua atoa ripoti kwa polisi kufuatia tishio alilopata kutoka kwa Naibu Rais William Ruto akiwa katika kituo cha polisi cha Kilimani, Nairobi.

Leo hii kama kweli baraza la wazee wa jamii ya Wakamba wangelitambua dosari lililosababishwa na gavana wa Machakos, Alfred Mutua kwa wanaume chungu nzima wa Kenya na barani Afrika, yamkini wangeitisha kikao cha dharura kumpa kisomo gavana huyu.

Kisomo cha kwanza ni kumuonya wazi kwamba ni mtoto peke yake ambaye anaweza kulalamika kunyanyaswa na mtoto mwenzake lakini siyo jibaba lenye cheo cha ugavana kama yeye, kulalamikia juu ya mwanaume ama wanaume wenzake.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Uncover the stories others won’t tell. Subscribe now for exclusive access
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in