The Standard Group Plc is a
multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper
print operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The
Standard Group is recognized as a leading multi-media house in Kenya with a key
influence in matters of national and international interest.
Huku vita dhidi ya ufisadi vikiendelea nchini ,mbunge wa Kikuyu Kimani Ichungwa amewalahumu baadhi ya Wabunge wa chama cha ODM ambao amedai ni fisadi huku wakiendelea kuwashtumu wengine. Amesema ni wazi kuwa baadhi ya mahasimu wa Naibu Rais William Ruto wamehusika katika sakata mbalimbali.
Akizungumza katika kanisa la PCEA Jijini Nairobi, mbunge huyo amesema iwapo Serikali inataka kuhakikisha amani katika taifa nzima ,ni lazima kila kiongozi aheshimu kazi yake.
Premium Article
Get Full Access for Ksh299/Week.
Bold Reporting Takes Time, Courage and Investment. Stand With Us.
🔥 Easter Sale Ends Tonight!
Subscribe now and enjoy 50% off monthly and annual plans. Offer ends in…
Stand With Bold Journalism.
Stand With The Standard.
Journalism can't be free because the truth demands investment.
At The Standard, we invest time, courage and skills to bring you accurate,
factual and impactful stories. Subscribe today and stand with us in the
pursuit of credible journalism.