Please enable JavaScript to view advertisements.
×
App Icon
The Standard e-Paper
Join Thousands Daily
★★★★ - on Play Store
Download App

Mtu mmoja amefariki kufuatia ajali katika barabara kuu ya Mombasa-Nairobi

Mtu mmoja amefariki kufuatia ajali katika barabara kuu ya Mombasa-Nairobi eneo la General Motors GM. Waliosughuia wanasema mwathiriwa aligongwa na gari lililokuwa likiendeshwa kwa kasi.

Maafisa wa polisi wamefika katika eneo la tukio ili kuuchukua mwili huku juhudi za kumtafuta dereva wa gari lililohusika kwenye ajali hiyo zikiendelea.

Premium Article

Get Full Access for Ksh299/Week.

Bold Reporting Takes Time, Courage and Investment. Stand With Us.
Continue Reading  →
What you get
  • Unlimited access to all premium content
  • Ad-free browsing experience
  • Mobile-optimised reading
  • Weekly newsletters & digests
Pay via
M - PESA
VISA
Airtel Money
Secure Payments Kenya's most trusted newsroom since 1902
Support Independent Journalism

Stand With Bold Journalism.
Stand With The Standard.

Journalism can't be free because the truth demands investment. At The Standard, we invest time, courage and skills to bring you accurate, factual and impactful stories. Subscribe today and stand with us in the pursuit of credible journalism.

Pay via
M - PESA
VISA
Airtel Money
Secure Payment Kenya's most trusted newsroom since 1902

Related Topics