×
App Icon
The Standard e-Paper
Stay Informed, Even Offline
★★★★ - on Play Store
Download App

Mudavadi alalamikia ufisadi unaohusishwa na miradi mbalimbali ya serikali

Kinara wa Chama cha ANC, Musalia Mudavadi amechukua fursa ya kongamano la wataalam wa idara mbalimbali linalojulikana kama Future of Kenya Professionals ambalo limekamilika leo Jijini Mombasa, kuendelea kuonesha kukerwa kwake na suala la ufisadi ambao umeandama ujenzi wa miradi ya mabwawa ya Arror na Kimwarer kwenye Kaunti ya Elgeyo - Marakwet.

Mudavadi amesema ni jambo la kusitikisha kuona kwamba fedha zilitengewa miradi hiyo ilhali haijatekelezwa kufikia sasa. Ameeleza kugadhabishwa na jinsi ambavyo baadhi ya walioathiriwa na ujenzi wa miradi hiyo hadi sasa hawajalipwa fidia.

Premium Article

Get Full Access for Ksh299/Week.

Fact-first reporting that puts you at the heart of the newsroom. Subscribe for full access.
Continue Reading  →
What you get
  • Unlimited access to all premium content
  • Ad-free browsing experience
  • Mobile-optimised reading
  • Weekly newsletters & digests
Pay via
M - PESA
VISA
Airtel Money
Secure Payments Kenya's most trusted newsroom since 1902
Support Independent Journalism

Stand With Bold Journalism.
Stand With The Standard.

Journalism can't be free because the truth demands investment. At The Standard, we invest time, courage and skills to bring you accurate, factual and impactful stories. Subscribe today and stand with us in the pursuit of credible journalism.

Pay via
M - PESA
VISA
Airtel Money
Secure Payment Kenya's most trusted newsroom since 1902

Related Topics

Kimwarer