×
App Icon
The Standard e-Paper
Fearless, Trusted News
★★★★ - on Play Store
Download App

Polisi mjini Eldoret wamemtia mbaroni mwanamume anayedaiwa kumuua mpenziwe kwenye Mtaa wa Kapsoya

Na Beatrice Maganga, Willy Khaemba

Polisi mjini Eldoret wamemtia mbaroni mwanamume mwenye umri wa miaka 36 anayedaiwa kumuua mpenziwe mwenye umri wa miaka 26 kwenye Mtaa wa Kapsoya. Mshukiwa wa mauaji ametambuliwa kuwa David Siloba.  Polisi wanasema mwili wa marehemu ulitumbukizwa katika tangi la maji huku ukiwa na  majeraha mabaya kichwani na vidole kukatwa.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Uncover the stories others won’t tell. Subscribe now for exclusive access
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in

Related Topics