Please enable JavaScript to view advertisements.
×
App Icon
The Standard e-Paper
Fearless, Trusted News
★★★★ - on Play Store
Download App

Safaricom yaagiza fidia kwa wateja

Na, Beatrice Maganga
 
Safaricom yaagiza fidia kwa wateja
 
Kampuni ya Mawasiliano ya Safaricom imeiagiza Kampuni ya Challa Communications kuwafidia wateja wake kima cha shilingi bilioni 10.6 walizotozwa walipotuma ujumbe mfupi wa kupokea matokeo ya Mtihani wa Kitaifa wa Darasa la Nane, KCPE.
Safaricom imesema baadhi ya waliotuma ujumbe huo walitotwa ada zaidi bila kukusudia na wanastahili kurejeshewa fedha zao.
Kampuni ya Chala ni miongoni mwa zinazofanikisha huduma za mawasiliano. Safaricom aidha imeagiza kufidiwa kwa wateja ambao walituma ujumbe lakini hawakupata ujumbe wowote kuhusu majibu ya mtihani huo. Kila ujumbe uliotumwa kwa nambari 22252 uligharimu shilingi 25. 
Premium Article

Get Full Access for Ksh299/Week.

Uncover the stories others won't tell. Subscribe now for exclusive access.
Continue Reading  →
What you get
  • Unlimited access to all premium content
  • Ad-free browsing experience
  • Mobile-optimised reading
  • Weekly newsletters & digests
Pay via
M - PESA
VISA
Airtel Money
Secure Payments Kenya's most trusted newsroom since 1902
Support Independent Journalism

Stand With Bold Journalism.
Stand With The Standard.

Journalism can't be free because the truth demands investment. At The Standard, we invest time, courage and skills to bring you accurate, factual and impactful stories. Subscribe today and stand with us in the pursuit of credible journalism.

Pay via
M - PESA
VISA
Airtel Money
Secure Payment Kenya's most trusted newsroom since 1902

Related Topics