×
App Icon
The Standard e-Paper
Home To Bold Columnists
★★★★ - on Play Store
Download App

Mrengo wa NASA wasitisha maandamano yao dhidi ya IEBC


Mrengo wa NASA wasitisha maandamano yao dhidi ya IEBC
by Yeri
Mrengo WA NASA umetangaza kusitisha kwa muda maandamano hayo wiki hii na kusema utaanda mikutano ya hadhara kwenye maeneo mbalimbali ya nchi.
Katika taarifa kwa vyombo vya habari, kinara wa NASA, Raila Odinga amesema Ijumaa wiki hii, ambayo ni Siku ya Sikukuu ya Mashujaa, wataandaa mkutano sambamba wa maadhimisho hayo kwa heshima ya waandamanaji waliouliwa wakati wa kushinikiza mageuzi katika Tume ya Uchaguzi, IEBC.
Aidha Odinga ameitaka serikali kusitisha mauaji ya kiholela ya waandamanaji, hasa kwenye maeneo ambayo mrengo huo una ufuasi mkubwa na kutishia kuwachukulia hatua Kaimu Waziri wa Masuala ya Ndani ya Nchi, Fred Matiang'i na Inspekta Mkuu wa Polisi, Joseph Boinnet kwa mauaji hayo.
Aidha Odinga amesema hawezi kushauriana na Rais Uhuru Kenyatta kuhusu suala la serikali ya mseto.?

 

Premium Article

Get Full Access for Ksh299/Week.

Uncover the stories others won't tell. Subscribe now for exclusive access.
Continue Reading  →
What you get
  • Unlimited access to all premium content
  • Ad-free browsing experience
  • Mobile-optimised reading
  • Weekly newsletters & digests
Pay via
M - PESA
VISA
Airtel Money
Secure Payments Kenya's most trusted newsroom since 1902
Support Independent Journalism

Stand With Bold Journalism.
Stand With The Standard.

Journalism can't be free because the truth demands investment. At The Standard, we invest time, courage and skills to bring you accurate, factual and impactful stories. Subscribe today and stand with us in the pursuit of credible journalism.

Pay via
M - PESA
VISA
Airtel Money
Secure Payment Kenya's most trusted newsroom since 1902

Related Topics