×
App Icon
The Standard e-Paper
Fearless, Trusted News
★★★★ - on Play Store
Download App

Gavana wa Bungoma azindua kichinjio cha kuku

Mchagua jembe si mkulima,kazi ni kazi,la mno ni kuilinda kazi hiyo. Siku chache baada ya gavana wa Bungoma kuzindua kichinjio cha kuku, wakaazi wamefaidika mno kutokana na ajira tofauti tofauti.

Wakulima pia wamehamasishwa kufuga kuku wengi ili iwe biashara kwao sufufu ya moja kwa moja. Iwapo magavana wote wangewazua jambo kama hilo,kulingana na wananchi,nchi hii ingekua imepiga hatua kem kem.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Bold Reporting Takes Time, Courage and Investment. Stand With Us.
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in

Related Topics

Kuku Bungoma