The Standard Group Plc is a
multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper
print operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The
Standard Group is recognized as a leading multi-media house in Kenya with a key
influence in matters of national and international interest.
Kampuni ya Mawasiliano ya Safaricom imeiagiza Kampuni ya Challa Communications kuwafidia wateja wake kima cha shilingi bilioni 10.6 walizotozwa walipotuma ujumbe mfupi wa kupokea matokeo ya Mtihani wa Kitaifa wa Darasa la Nane, KCPE.
Safaricom imesema baadhi ya waliotuma ujumbe huo walitotwa ada zaidi bila kukusudia na wanastahili kurejeshewa fedha zao.
Kampuni ya Chala ni miongoni mwa zinazofanikisha huduma za mawasiliano. Safaricom aidha imeagiza kufidiwa kwa wateja ambao walituma ujumbe lakini hawakupata ujumbe wowote kuhusu majibu ya mtihani huo. Kila ujumbe uliotumwa kwa nambari 22252 uligharimu shilingi 25.
Premium Article
Get Full Access for Ksh299/Week.
Bold Reporting Takes Time, Courage and Investment. Stand With Us.
🔥 Easter Sale Ends Tonight!
Subscribe now and enjoy 50% off monthly and annual plans. Offer ends in…
Stand With Bold Journalism.
Stand With The Standard.
Journalism can't be free because the truth demands investment.
At The Standard, we invest time, courage and skills to bring you accurate,
factual and impactful stories. Subscribe today and stand with us in the
pursuit of credible journalism.