Moi New Year message

Aliyekuwa rais mstaafu Daniel Arap Moi amewasihi viongozi kuendesha shughuli zao za kisiasa kwa uangalifu mkuu tunapoanza mwaka wa uchaguzi mwaka wa 2012 , alikuwa akizungumza katika kongamano la vijana huko Rongai kaunti ya Nakuru ,Moi amewasihi viongozi wa kisiasa kujihusisha na maombi wakati wanapotafuta kufanya maamuzi muhimu wakati wa uchaguzi wa mwaka huu Vile vile amewatakia wakenya mwaka wenye amani na fanaka tele

Related Topics

Moi New Year message