×
App Icon
The Standard e-Paper
Smart Minds Choose Us
★★★★ - on Play Store
Download App

Religious leaders, unesco on HIV

1.   ----------vcrs------------damaris

Shirika la umoja wa mataifa la unesco limependekeza kuanzishwa kwa somo maalum litakalo toa mafunzo kuhusiana na ukimwi na jinsi ya kujikinga na maambukizi ya maradhi hayo . Mradi huu unaolenga  wanafunzi katika shule za msingi na za upili utatumika kama njia mojawapo ya kuzuia kuenea kwa maambukizi ya ukimwi. Wakati huo huo viongozi wa kidini wameamua kuchukua jukumu la kutoa elimu na mafunzo kwa waumini wao , kuhusiana na janga la ukimwi.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Uncover the stories others won’t tell. Subscribe now for exclusive access
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in