×
App Icon
The Standard e-Paper
Smart Minds Choose Us
★★★★ - on Play Store
Download App

Doctors looming strike

Chama cha madaktari nchini kinapani kutoa notisi kwa serikali, kuhusiana na hali duni ya huduma katika hospitali za umma, pamoja na hitaji la madakatari na wauguzi zaidi, na nyogeza ya mishahara. Ukosefu wa vifaa mwafaka, madawa ya kutoasha na watoaji huduma za kimatibabu wa kutosha ni mambo yanayoaminikia kupelekea maelfu ya vifo vya wagonjwa kila mwaka. Muungano huo unapania kufanya mgomo ifikapo mwezi Disemba iwapo serikali haitatimiza matakwa yao.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Bold Reporting Takes Time, Courage and Investment. Stand With Us.
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in