×
App Icon
The Standard e-Paper
Stay Informed, Even Offline
★★★★ - on Play Store
Download App

Gender balance row -Swahili

Wabunge wanawake wameapa kuuangusha mswada wa uchaguzi bungeni, endapo baraza la mawaziri litarekebisha kipengee cha kuondoa kipengee kinachowatengea wanawake thuluthi moja ya viti vya ubunge katika katiba. Utata huu ulianza jana baada ya mkutano wa mawaziri uliongozwa na raisi mwai kibaki na kuamua kwamba kipengee hicho hakiwezi kutimizwa. Wanawake leo wamezungumza kwa sauti moja wakiapa hawatakaa kimya na kuona gurudumu la haki za wanawake likirejeshwa nyuma.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Bold Reporting Takes Time, Courage and Investment. Stand With Us.
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in