×
App Icon
The Standard e-Paper
Kenya’s Boldest Voice
★★★★ - on Play Store
Download App

Serikali za Kaunti 2

Katika muundo mpya wa serikali za Kaunti, asilimia 15 ya mapato ya nchi yatatengewa shughuli za kaunti. Hata hivyo kabla ya yote hayo patabuniwa hazina nyengine ya kusawazisha maendeleo kote nchini, maeneo yaliyosalia nyuma kimaendeleo yakipewa kipau mbele ili kufikia viwango vya maendeleo kitaifa. Katika sehemu ya pili ya makala serikali za kaunti, tunaangazia jinsi mapato yatasambazwa kwenye serikali hizi, na matumaini ya kuimarika kwa miundo misingi kwenye maeneo husika.. Esther Kahumbi na taarifa kamili.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Fact‑first reporting that puts you at the heart of the newsroom. Subscribe for full access.
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in

Related Topics

Serikali za Kaunti 2