×
App Icon
The Standard e-Paper
Kenya’s Boldest Voice
★★★★ - on Play Store
Download App

Building demolition-Swahili

Idara ya wahandisi nchini IEK imesema baraza la jiji la Nairobi ndilo la kulaumiwa kutokana na mikasa ya hivi punde ya kuanguka kwa majumba katika maeneo ya Nairobi. Idara hiyo imesema mikasa hiyo ingezuiliwa iwapo baraza lingefuata mapendekezo ya mwaka 2006 ya jopo la wahandisi lililoundwa baada ya mkasa wa nyamakima uliosababisha zaidi ya vifo vya watu kumi na tano.
Get Full Access for Ksh299/Week.
Uncover the stories others won’t tell. Subscribe now for exclusive access
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in