Police recruitment saga

Baada ya zoezi la kuajiri makurutu wa polisi lililofanyika Aprili 27 mwaka huu kukamilika, duru zimearifu runinga ya KTN kuwa zoezi hilo lilikumbwa na visa vya ufisadi wa hali ya juu ambao sasa umebainika katika makao makuu ya polisi katika jumba la Vigilance siku saba baada ya marutu kuwasili katika shule za mafunzo ya kikosi hicho. Alama ya chini iliyotakiwa kwa makurutu kufuzu ilikuwa C katika mtihani wa KCSE lakini kama anavyoarifu Johana Chacha kuna baadhi ya makurutu ambao tayari wameingia mazoezini wakiwa na alama za chini kabisa kama D-

Related Topics

Police recruitment