×
App Icon
The Standard e-Paper
Kenya’s Boldest Voice
★★★★ - on Play Store
Download App

Looming crop failure - swahili

Kuna hatari ya baa la njaa endapo hali iliyoko sasa ya ukosefu wa mvua itaendelea. Upanzi wa mahindi  huko rift valley umetatizwa  na  ukame unaonekana kukithiri katika maeneo mengi ya eldoret; maeneo ambayo yanafahamika kuwa  ghala la mahindi yanayotumiwa katika sehemu kadhaa nchini. Ni hali ambayo hata idara ya utabiri wa hali ya anga imeonya kwamba huenda mvua isinyeshe katika siku za hivi karibuni
Get Full Access for Ksh299/Week.
Uncover the stories others won’t tell. Subscribe now for exclusive access
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in