×
App Icon
The Standard e-Paper
Kenya’s Boldest Voice
★★★★ - on Play Store
Download App

Bungoma neglected school - swahili

Ni hivi majuzi tu ambapo ktn iliangazia shule moja huko bungoma na kuibua maswala kuhusu utumizi wa cdf eneo bunge la webuye, lakini leo ni afueni kwa wanafunzi hao kwa mbunge wao kufika hapo ambaye pia alitamaushwa na hali aliyoiona … na kumpelekea  yeye kuvunjilia mbali kamati hiyo na kuahidi usaidizi wa kima cha milioni mbili ili madarasa ya shule hiyo yaweze kujengwa
Get Full Access for Ksh299/Week.
Bold Reporting Takes Time, Courage and Investment. Stand With Us.
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in