Ajali Za Ndege

Serikali ina wakaguzi 4 pekee wanaotakikana kukagua maelfu ya marubani walio humu nchini, lakini si hayo tu, kwa takriban ndege 500 zilizoandikishwa humu nchini, ni wakaguzi 9 pekee walioko kuhakikisha kuwa hakuna ndege duni kimitambo inayopaa angani. Haya yanaibuka siku moja tu baada ya ndege moja inayomilikiwa na kampuni ya fly 540 kuanguka wakati wa jaribio la kupaa. ikihofiwa kuwa uhaba huu ndio mojawapo ya sababu kuu za ajali ndogo za ndege ambazo zimeongezeka humu nchini.

Related Topics

Ajali Za Ndege