×
App Icon
The Standard e-Paper
Join Thousands Daily
★★★★ - on Play Store
Download App

SONKO Alala Tena Gerezani

Mbunge wa Makadara Mike Mbuvi marufu kama sonko  hii leo atalala tena rumande baada ya kushindwa kuopata dhamana iliitishwa na mahakama .Sonko alifikishwa mahakamni kujibu mashtaka ya ulaghai na kutoweka katika jela ya kamiti ikiwemo kukwepa kulipa  dhamana . Hakimu wa mahakama  ya kibera alimtoza Sonko thamana ya shilingi laki tano katika kesi ya ulaghai na uthamini wa laki tatu na lile shtaka la  kuilaghai kampuni ya tile  and  carpet alitozwa thamana ya shilingi milioni moja. Kesi ya Sonko kutoweka gerezani itasikizwa leo mchana

Get Full Access for Ksh299/Week.
Uncover the stories others won’t tell. Subscribe now for exclusive access
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in