Mahakama Yazuia IIBRC Kuchopisa Mipaka Mipya

Hisia tofauti zimeendelea kuibuka kuhusu hatua ya bunge kususia kuteua makamisha wa tume ya kutekeleza katiba na ile ya mapato. Waziri mkuu wa sheri Mutula Kilonzo ametaja hatua ya jana usiku bungeni kuwa ya aibu. Kadhalika aliykeuwa mwana kamati wa kamati maalum ya katiba Otiende Amolo amekashifu madai ya bunge kutaka kutumia mjadala huo kuafikia malengo yao ya kisiasa.